Tuesday, August 21, 2012

TWAWAPONGEZA KUMALIZA MFUNGO NA KUSHEREHEKEA EID.......MNAOENDELEA NA SITA KILA LA HERI

SAMAHANI KWA UKIMYA WADAU WANGU........MAMBO YALIPANDANA UKICHANGANYA NA KUSHIBA PILAU LA EID NDO BALAA KABISA

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni matumaini yangu kuwa umekuwa na wakati mwema wa eid. Pongezi kwenu pia..Mmependeza...

Ester Ulaya said...

shukrani sana dada

Yasinta Ngonyani said...

karibu sana!