Tuesday, August 21, 2012

SIKU YA JUMAMOSI NYAKATI TOFAUTI.........KISIMU CHANGU KILIFANYA KAZI HII

 Jua kaliiii.........I Love Jide mnoooooooooo
Monica...shukrani sana kwa T-Shirt hiiiii Machozi Band Idumuuu

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimezipenda hizo T-shirt..Hivi kwa nini zinaitwa T-shirt? Nakumbuka zamani walikuwa wakiziita skipa..ni hizi T-shirt au kitu kingine?..Umependeza mdada:-)

Ester Ulaya said...

nITAJITAHIDI KUKUTAFUTIA UKIJA BONGO
NADHANI ZAITWA T-SHIRT KWAKUWA ZIKO MUUNDO WA T......NADHANI SKIPA NI KISWAHILI AU????????

Yasinta Ngonyani said...

Nitashukuru...Upo sahihi eti hata sikufikiria hivyo T..Ahsante dada mdogo:-)