Saturday, July 28, 2012

MDAU CHIGS AKIWA MAENEO YAKE YA KUJIDAI - RUAHA

Sunrise in Ruaha mbuyuni..
 Msosi ukiandaliwa shambani na hii ndo jadi yetu...mengine ni mbwembwe tu
mahali pa kulala, kitu cha Chemli/Lamp...hilo bag nimelipenda
Akimuungusha muuzaji, pia kwa upande mwingine akiijali afya yake
Anasikilizia ladha akitoa na sifa kwa muuzaji
Safi sana, tunapokea order kama unahitaji vitunguu, kwa magunia please na siyo kwa mafungu
Safi sana, vimestawi kweli kweli
Manager akiwa ameshikilia matunda ya shambani hapo
Kissing the Money...hahahha well done Best
Na sasa ni kusherekea...kama unahitaji wahi sasa....mawasiliano hayo hapo kulia pembeni, au tuandikie ester.ulaya@gmail.com
Photo Credits: Chigs

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimependa sana taswira maana nimekumbaka na nimejisikia nipo Ruhuwiko nyumbani:-)