Wednesday, July 25, 2012

KENYAN'S................VERY FUNNY

Kenya - Jamii ya wamasai wameiambia serikali kupitia shirika la wanyamapori la kenya kuwa, litawaua simba wote ambao wataingia makazini mwao na kuua na kula mifugo yao. Hii ni baada ya wanyama hao wakali wa porini hasa Simba kuvamia vijijini na mazizini na kukamata ng'ombe, mbuzi na kondoo wa wamasai hao. Hadi sasa Wamasai wamekwisha ua simba watatu.

Sasa hiyo picha hapo eti ni jinsi simba walivyojipanga kurudisha mashambulizi. Hahahaha

No comments: