Tuesday, July 3, 2012

KAZI YA MIKONO - BAGAMOYO

Nilijitwalia hizi
Kazi ya mikono


Wacheza Bao mpooo

Watoto wanapenda sana...pia ni urembo kwa nyumbani
Glass za Wine na vinu....asili yake Tanzania....Mpingo huo
Inapendeza
Bangili
Vinyagooo
Walinunua kuwapelekea warembo wao...
Wallet za mikeka
Ubunifu huo jamani

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika tunatakiwa kumshukuru Mungu kwa alivyotuumba..nimetamaniiiii