Saturday, July 28, 2012

Alexander Vinokourov of Kazakhstan wins Olympic gold medal in men's road race


The winner Himself

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimejikuta nahisi kama vile ndiye mimi hapa kwenye baiskeli...

Ester Ulaya said...

yaani leo nipo tu ndani, nilichopenda nilikuwa naangalia tokea wameanza hadi wanamaliza na anavyoshinda hadi anavishwa medali yake....was so interesting

clicksomemore said...

I wish TZ wapate angalau hata ka medali kamoja,silver or whatever

ray njau said...

@Yasinta unakaribishwa uiwakilishe ardhi ya mama yako TZ.

ray njau said...

@Ester;
Unaangalia na unaendelea kuangalia na bado utaangalia na hutachoka kuangalia kwa kuwa unafurahia kuangalia.