Thursday, June 7, 2012

KAZI NI KAZI....HAIJALISHI UPO KITENGO KIPI,TUKIZIHESHIMU KAZI ZA WENZETU NA ZETU ZITAHESHIMIWA

 Wapima Ardhi wakienda kuwajibika....bila hawa Hati hupati, ni lazima Ardhi ipimwe ndo upate Hati
 Ndugu zake Ankal Michuzi tehe tehe joke.... wakiwajibika, mambo ya steal picture na mnato
 Wakifua Nazi, utasikia mtu akisema 'napakaa mafuta ya nazi'...hawa wanasaidia sana mafuta hayo hadi yapatikane, ukiachia mbali viwanda
 Ajira kwa watoto???? au anamsubiri mama amalize kazi aende naye home???? sikuweza kujua hili
 Uwajibikaji ukiendelea
 Mambo ya MENYU, kaka akiwajibika ahudumie wateja wake mgahawani
Madafu kwa afya, je unajua kazi yake??? nitakuletea upate kufahamu zaid, najua unajua ila unapenda kujua zaidi
Sumu ya panya...sumu ya panya, mende,kunguni, mapunye, sumu ya panya(hapa naimba) hawa jamaa wanatusaidia sana panya wakikorofisha makwetu

No comments: