mazungumzo yakawa iv ;-
NAMBA NGENI: hallow, una boyfriend..??
MREMBO: ndio ninae kwn wee nan ??
NAMBA NGENI: mimi baba ako kumbe una boyfriend
nikirud utanitambua.
....simu ikakatika...
Mrembo akiwa na mawazo nini afanye simu ikaita
tena kwa namba ngeni tofauti na ya mwnzo:
NAMBA NGENI: hallow, una boyfriend??
MREMBO: hapana cna.
NAMBA NGENI: vipi mpenzz?? Ina maana
umensaliti??
MREMBO: hapana bby nlijua baba kanipigia simu sasa hiv.
NAMBA NGENI: ni mimi baba yako, nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boyfriend, nakwambia utanikoma leoo.
From Anord Kayanda Facebook page
3 comments:
Kazi kwelikweli!!
si kidogo hapo
kuna wazee wasaniii,,mbona dada wa watu alikoma..
Post a Comment