Wednesday, May 23, 2012

HAHAHAHA MZAZI HUYU ANA MBINU KWELI

Mrembo mmoja alipokea cm ya namba ngeni na 
mazungumzo yakawa iv ;-

NAMBA NGENI: hallow, una boyfriend..??


MREMBO: ndio ninae kwn wee nan ??


NAMBA NGENI: mimi baba ako kumbe una boyfriend 

nikirud utanitambua.

....simu ikakatika...


Mrembo akiwa na mawazo nini afanye simu ikaita 

tena kwa namba ngeni tofauti na ya mwnzo:

NAMBA NGENI: hallow, una boyfriend??


MREMBO: hapana cna.


NAMBA NGENI: vipi mpenzz?? Ina maana 

umensaliti??

MREMBO: hapana bby nlijua baba kanipigia simu sasa hiv.


NAMBA NGENI: ni mimi baba yako, nilitaka 
kuhakikisha tu kama kweli una boyfriend, nakwambia utanikoma leoo.



From Anord Kayanda Facebook page

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kazi kwelikweli!!

Interestedtips said...

si kidogo hapo

Joseph U said...

kuna wazee wasaniii,,mbona dada wa watu alikoma..