YA 5 ALBUM, NOW AVAILABLE ON ITunes
From Lady JAYDEE;
Sasa Album mpya ya LADY JAYDEE.
Inayoitwa 'Ya - 5 The Best Of Lady Jaydee' inapatikana online kupitia Itunes
Wapenzi wa muziki wa KiTZ na wapenzi wa muziki wa Jide wanaweza kufata kupitia link hii ya itunes;
Naridhika Sana kwa Support ninayopata..
Asante
With Love,
Jaydee...
Mtembelee Hapa
2 comments:
Ahsante kwa kutuhabarisha! Naipenda sana miziki ya Jay Dee.
Asante sana Yasinta, tuvipende vya kwetu vya kwao tuwaachie wahangaike navyo
Post a Comment