Monday, April 23, 2012

NGUMI ZA MBWA NA PAKA

 Hapa Paka alikimbia Mbwa akamfuata
 Mbwa alikuwa kafungwa kila akimrukia hamfikii, huyo aliyesimama pembeni alikuwa anawapambanisha
 Wakaangaliana kibabe
 Mbwa akimrukia Paka yeye anatumia ka mkono kake ka mbele kumkwarua mbwa
Hatimae wakachoka ilikuwa inafurahisha sana nitajitahidi niwawekee Video yake

No comments: