Ipo kama unaelekea Kidomole/Msata ukiwa unatoka Bagamoyo mjini
Ki asili zaidi
Ni kijijini hapa, pako ki ubunifu zaidi, panaboreshwa kila mara
Hivyo Vijumba vinavutia, kuna umeme wa Generetor na Dish kwa ajili ya Tv lipo
Parking ipo
Sehemu ya Michezo pia
Huyu yupo jirani na Camp site hiyo
Pia bucha ya nyama ya Ng'ombe ipo karibu na Campsite hiyo
2 comments:
Safi sana nimependa hii!
Yaani pako bomba, ilibidi tukanunue soda kupata view yake
Post a Comment