Friday, April 20, 2012

ASKARI WA USALAMA BARABARANI ZANZIBAR WAKITOA ELIMU MASHULENI


Koplo Othman Daima wa Kikosi cha Usalama Barabara Zanzibar akitoa elimu ya matumizi salama ya barabara kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiembesamaki mjini Zanzibar.

(Picha na Insp. Mohammed Mhina, Afisa habari Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar)

No comments: