Sunday, March 4, 2012

UKAGUZI WA KUCHA

Nilikuta movie ikiendelea kwenye Tv, nikatulia niangalie, si ndio kikafika kipengele afande anawakagua makruta kucha, nikakumbuka mambo ya KAGERE KEUPE SHULENI, hata movie yenyewe sikujua inaitwaje, ila ilikuwa mchaka mchaka hasa

No comments: