Saturday, March 24, 2012

SUMBAWANGA NDO ASILI YANGU, NIKIPATA HABARI ZA HUKU ROHO HUWA JUU JUU KUJUA YANAYOJIRI

Imalizeni na sie tujiadai
Watoto kama kawaida yao,hawakosekanagi kushuhudia matukio
 Msishangae kuona post za mara kwa mara kutoka Sumbawanga, ni kwetu huko na ninafurahi sana kuona mambo haya yanapewa kipaumbele kwa sasa, kwani kulisahaulika mnoooo, natamani kuona bara bara imeisha uzinduzi ufanyike fasta
Ujenzi wa barabara ya Laela Sumbawanga ukiwa umepamba moto lakini mvua zinazoendela zimekuwa zikisababisha kurudisha nyuma juhudi hizo..hapo ni Tamasenga daraja likitaka kugawanyika baada ya mvua ya juzi kunyesha…wakandarasi wakatumia juhudi binafsi….kulikarakabati.

Blog Team S'wanga

No comments: