Thursday, March 29, 2012

STAND UP COMEDY SHOW YA EVANS BUKUKU NI NOMA

 Msanii wa muziki Carolla Kinasha alikuwa mc wa muda kabla Taji hajafika Evans
 Mshereheshaji Mahiri wa Evans Bukuku Live Comedy Show, Taji Liundi akifafanua jambo kwa Msanii wa muziki Carolla Kinasha ambaye alianza kuwa mshereheshaji katika
Mshereheshaji Mahiri wa Evans Bukuku , Taji Liundi akitoa moja ya salamu inayotumiwa na vyama.
 Nilikuwepo nami nicheke
 Nikaanza kufunguka sasa
 Dogo Pepe aliniacha hoi jamani, yule mtoto ni balaa

 Nikiwa na Evans Bukuku
Tukiwa na Mdogo wetu Fumo
 Mr.CA, Mrs.CA na Evans Bukuku
 Ilianzia hapa, tukachimbwa mkwara sana, kwanini mnapiga picha mmeangaliana hivyo, pose gani sasa, hebu badilisheni
 Gabriel Mollel na mimi tukacheka sana, tukasema twabadilisha pose
 Hili pose la picha akalipitisha, Mpigaji alikuwa Kajunason
 Wageni waliohudhuria katika Show wakivunjika mbavu kwa vicheko.
 Dogo Pepe akionyesha manjonjo yake, huyu dogo nimemkubali.
 Wacha weeee... kila mmoja alikuwa na namna yake ya kucheka.
 Mshereheshaji Mahiri wa Evans Bukuku Live Comedy Show, Taji Liundi akiwa na mmoja ya wageni waliohudhuria katika Evans Bukuku Live Comedy Show iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
 Taji Liundi akiongea na wageni waliohudhuria
 Evans Bukuku akiwavunja mbavu... yani hapa unabonyeza hivi...
 Manjonjo ya kutosha aliyatoa
 Watu walijiachia kwa raha zao.
 Unajua lazima ufanye hivi....
 ...huyu jamaa atatuvunja mbavu
 ...Kumbe jamaa anajua na kuimba... ila ni full vituko. kwa matukio zaidi tembelea  www.kajunason.blogspot.com

2 comments:

ngaizaskids said...

Kucheka ni afya mamii ulichekaje sasa, Sasi sana kuijari afya na kuwaunga mikono watu wetu sipati picha siku za mbele nimekaa pembeni mwako tunacheka wote can't wait aisee. Pamojaa

Ester Ulaya said...

i cant wait my dear, tutachekaje sasa siku hiyo, ukuje tu