Monday, March 5, 2012

SIKU HAZIGANDI

Siku hazigandi, mwaka 2011 tar 10 March, NYUMBANI LOUNGE ilifunguliwa Rasmi....Zikiwa zimebaki siku 5 kutimiza mwaka Celebration tunazianza rasmi (Jumatano....DANSI la MASHUJAA MUSICA "Band"), Alhamis... ?(Disco nite na DJ BULLA na DJ SPESO MUALIKO KWA WOTE)......?(Ijumaa na Jumapili....MACHOZI BAND ng'ari ng'ari)...(Jumamosi...GROOVEBACK NITE na DJ PETER MOE).....Ninaweza kupita kuchungulia

JUMAPILI TAR 11 MARCH 2012, NDIO KILELE CHA SHEREHE......
BY LADY JAY DEE

No comments: