Friday, March 16, 2012

KANISA KATOLIKI PAROKIA YA MT.AUGUSTINO-TEMBONI WAMEUKATA


Kanisa jipya la Temboni, mchakato wa ujenzi ulianza 2008 kama sikosei kwani nami nilishirikishwa pia kwenye mchakato mzima, kutoa ni moyo na si utajiri

Kwa mbali laonekana la zamani likwa linapakana na jipya, mjumbe wa kamati ya ujenzi wa kanisa hilo na ni muumini pia akitoa maelekezo
Kanisa la zamani likiwa limepakana na kanisa Jipya
 Kanisa la zamani
Kwa upande wa mbele


Hapo linaonekana kanisa la zamani, jipya na jengo la chekechea


Nyumba ya Katekista

Kanisa la zamani
Hongereni sana kulifikisha hapa
Mlango Mkuu wa kanisa la zamani

Bado ujenzi unaendelea Parokiani hapo, kwani nyumba za mapadre bado, ndo zipo kwenye mchakato, Fance bado, na vitu vingine, ila limeshaanza kutumika na waumini wanasali kanisani humo. Hongereni sana sana waumini walioguswa wakachangia ujenzi huo na sasa lilipofikia ni pazuri na litaendelea kuwa bomba

2 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Binti Ulaya yaani Leo hizi picha na maeneo haya, duuhh sijui nisemeje, umenifikisha mbali mnoo,Hongereni sana kwa Ujenzi wa Kanisa nimefurahi kuona lipo hivyo,Kweli kutoa ni Moyo!!Mungu awabariki sana na Awaongezee pale mlipopunguza na awape zaidi.Ahsante kwa Picha pia.

Ester Ulaya said...

Rachel asante sana, yaani nilipoenda jumapili kupatembelea nikakuta pako hivyo, nilifurahi sana, kutoa ni Moyo. Amen