MC wa Hafla hiyo, Regina Mwalekwa akimtambulisha, Shamim Mwasha ambaye ni Muandaaji wa Sherehe |
Wadada ndani ya mavazi ya Kanga, ni kupendeza mwanzo mwisho
Alice, Designer herself
Gauni langu nilidesign mimi
Nikiwa na Vai, rafiki yangu kipenzi tokea tupo Secondary hadi leo hii
Mrs CA
Vai ndani ya vazi la kanga, ulipendeza hasa
4 comments:
picha nzuri mlipendeza sana...aminia upcoming designer nguo yako nzuri!
kila la kheri
Majoy mbona hukuja? wala sikukuona, asante dear, am trying kidogo kidogo
Hakika mmependea akina dada. Hongera sana kwa kulitangaza vazi la khanga
Asante Yasinta (wakunyumba, tehe tehe mtani)
Post a Comment