Wednesday, March 7, 2012

3rd March, 2012 @Serena Hotel : Women Celebration

MC wa Hafla hiyo, Regina Mwalekwa akimtambulisha, Shamim Mwasha ambaye ni Muandaaji wa Sherehe
 Wadada ndani ya mavazi ya Kanga, ni kupendeza mwanzo mwisho
 Alice, Designer herself
Mahojiano
 Gauni langu nilidesign mimi
 Nikiwa na Vai, rafiki yangu kipenzi tokea tupo Secondary hadi leo hii
 Mrs CA
 Vai ndani ya vazi la kanga, ulipendeza hasa

4 comments:

Majoy said...

picha nzuri mlipendeza sana...aminia upcoming designer nguo yako nzuri!
kila la kheri

Ester Ulaya said...

Majoy mbona hukuja? wala sikukuona, asante dear, am trying kidogo kidogo

Yasinta Ngonyani said...

Hakika mmependea akina dada. Hongera sana kwa kulitangaza vazi la khanga

Ester Ulaya said...

Asante Yasinta (wakunyumba, tehe tehe mtani)