Thursday, February 16, 2012

Photos Taken From Plane Windows: By Rural & Urban CameraHuumlima niliupenda sana kwa juu, bwawa laonekana kileleni, sijui ndo mlima wenye Volcano, mnaokumbuka Geography tujuzeni hapo

Beautiful terrain

Dar yetu hiyo pembezoni mwa baharini
Uwanja wa Taifa unaonekana vizuri

Well thats all i have got, enjoy the photos

No comments: