Friday, February 17, 2012

MREMBO WA WIKI WA RURAL & URBAN BLOG

 Mema Margareth Berege
 Umependeza sana, na rangi jinsi zilivyochanganywa zimo mahala pake, mshono uko bomba
Vazi la batiki linafaa kuwa miongoni mwa vazi la Taifa, nalifagilia sana

No comments: