Friday, February 17, 2012

ITS WEEKEND TIME: HASA WAPENDAO KU-DANCE

 IF YOU’RE STRESSED UP, DANCE LIKE YOU HAVE NEVER DANCED BEFORE
 USIJIULIZE UMEWEKA WAPI VIATU WAKATI HUO
UKIWEZA IMBA AU SHANGILIA KUUPA SUPPORT MZIKI UUCHEZAO

NA UKITOKA HAPO, AKILI ITAKUWA IMECHANGAMKA, UCHOVU WA AKILI UMEKUISHA NA UTAWEZA KUFANYA MAMBO YAKO

2 comments:

EDNA said...

Kazi nzuri mdada.Keep up the good work.have a lovely weekend.

Ester Ulaya said...

Thanx a lot Edna, Like wise