Monday, February 6, 2012

Home Sweet Home Part I - Mbeya

Picha hizi alizinasa wakati akielekea kusalimia kijijini kwao TUKUYU wilaya ya RUNGWE mkoani MBEYA, "hivyo nilianza kuzinasa nikiwa njia panda Uyole nikielekea TUKUYU" anasema mdau
 Kilimo kwanza mahindi yamestawi vizuri kabisa
 Akina mama wakiuza ndizi kando kando ya bara bara -Stand
 Dukani wateja wakinunua mahitaji mbalimbali, vikiwemo viatu
 Watu busy na shughuli zao
 Maharage ya Mbeya, maji mara moja
 Nyanya za huku maranyingi ni kubwa na nzuri hata ukiziangalia

Asante sana Mdau Michuzi Jr. kwa kuwakilisha

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nimefurahi nimejisikia kama nipo huko na pia nimetamani hivyo vyakula.

Interestedtips said...

uzuri wa vyakula hivi maranyingi huwa ni natural, havijafanyiwa uchakachuaji sana

kokusimah said...

Mpendwa mbona unanifanya ntake kuja Leo Ali sina likizko?? Mahindi jamani nataka la kuchoma likilokwosha jaa chumvi ya mchanga oh tamu hilo. Shukrani kwa mdau.

Unknown said...

Didnt understand anything on this post but i enjoyed seeing the photos

-Nico

www.SatinAndSalt.com