Tuesday, February 7, 2012

Weekend @ Nyambili - Rufiji

 Mara nyingi Ukarimu ni kitu cha bure haijalishi uko wapi na uko na akina nani muda huo, kila mtu anapaswa aangaliwe kwa mtazamo ule ule, na upendo wa hali ya juu. Wenyeji wa huku Wanajali mgeni anapowatembelea ale ashibe,kwasababu ya uhaba wa vyombo haijalishi vyombo vipi watumie ilimradi viwe ni visafi
Nikiwa nakula ugali nyama
 Wakati nakula kunakuwa na mwenyeji yuko busy anakuandalia na matunda ya kurudi nayo nyumbani
Ukarimu ndo mpango mzima

1 comment:

ngaizaskids said...

Wow enjoy dadangu na watu wanaojua utu wa mtu. Nimemiss bk jamani mapapai. Sikuwahi kuwaza mpapai unaweza kuukwea, tulipgopa waweza vinjika.