Tuesday, February 7, 2012

Home Sweet Home Part II - Mbeya

 Mboga za majani kwa afya, siyo hadi Daktari aseme

Kazi ni moja tu, kustawisha Migomba na mazao mengine
Sehemu kubwa za vijijini hupikia kuni na mkaa kiasi
Wakazi wa maeneo hayo wakitoka mashambani kuwajibika

Shukrani sana Mdau Michuzi Jr. kwa kuwakilisha

1 comment:

monica kaaya said...

Jamani nimeona izo mboga nimetamani kuingia jikoni :)