Tuesday, February 7, 2012

Amsterdam This Week

Watu wanakula bia juu ya canal (mitaro ya maji) iliyoganda barafu/ice. Ila inakaguliwa na mamlaka za hali ya hewa kwamba snow inatosha kuhimili watu hapo juu.

Asante sana Mdau Kutoka Amsterdam

5 comments:

Jana ★ said...

Wow!! Amazing pics.
xoxoxo
http://janakitchen.blogspot.com

SIMON KITURURU said...

Kijiwe kimenikumbusha mbali hiki!

Ester Ulaya said...

Simoni, ndo uende ukazulu tena ujikumbushe ya huko

Ima (the Designer) said...

Itokee fery bac tuone km kuna mtu ata kaa

Ester Ulaya said...

tehe tehe we Ima nani atagusa sasa hapo lol