Friday, February 17, 2012

An Enterprenuer @Sumbawanga

Starting your own enterprise and earning profits from it, that means your a builder of mordern day society
No country can progress if the people of there Nation are not enterprising
Mfano kama akina Bill Gates, Macdonald, Morgan Stanley, Bakhresa, Mengi n.k. wote hao ni wajasiriamali walianzia chini kabisa, sasa hivi wako juu mno
Linaitwa TOP TEN KWETU lipo jangwani karibu na mashine za Mpunga……piteni hapo mjipatie bidhaa mbali mbali, kila la heri mdada, wanawake tunaweza hasa tukipewa support zaidi kutoka kwa wanaume

No comments: