Wednesday, August 18, 2010

NYOKAAAAA

Treni ni usafiri unaosaidia sana hasa njia ya kati hadi Kigoma kwani wananchi wengi wanatumia usafiri huu

1 comment:

Mija Shija Sayi said...

Zinatakiwa ziongezeke hizo nyoka jamani, yaani toka uhuru tuna nyoka mmoja tu?