Wednesday, August 4, 2010

Mazingira mazuri

Hapo si Tanzania, ila natamani siku moja Tz yetu iwe smart kama haya Mazingira, kwa wasio fahamu wanaweza sema ni mlima Kitonga ulioko Iringa

3 comments:

Anonymous said...

Yap imetulia

Anonymous said...

vP MBONA BLOG IME DEAD

ally M said...

mazingira yana vutia sana