Kwanza: nawapa pole kwa kuugua
Pili: mimi naona kama utata fulani, ukifuatilia historia za ugonjwa wao unafanana, mahali/hospitali waliyotibiwa ni moja, Daktari huyohuyo, tofauti ni kuwa alianza Diamond kafuata Wema......Hizi ni ishara za nini??? Nawaza tu kwa SAUTI wapendwa.......au kuna Movie wanaandaa? Au kuna ujumbe wanajaribu kuutuma kwetu sisi wananchi....duh najikuta nawazaaaaa weeeee jibu linakuwa NEHHHH
NAWAPENI POLE SANA NA MPONE HARAKA
MUWE NA SIKU NJEMA WADAU WANGU WOTE