Monday, March 11, 2013

DUH: HAYA MAMBO HAYA MBONA BALAA

Child bridegroom: Eight-year-old boy marries 61-year-old woman after 'dead ancestors told him to tie the knot'

An eight-year-old schoolboy has married a 61-year-old woman because the ghost of his dead ancestor told him to.
Sanele Masilela tied the knot with Helen Shabangu, who is already married and a mother-of-five.
The boy, from Tshwane, South Africa, said he had been told by his dead ancestors to wed and his family, fearing divine retribution, forked out for a wedding.

They paid £500 for the bride and a further £1,000 for the big day, which was organised in just two months.

 Ceremony: The schoolboy kisses his 61-year-old bride, who is already married and a mother of five. He said he had been told to tie the knot by his ancestors
 With this ring: The boy's family say the wedding was simply a ritual and not recognised in law
 The big day: Mrs Shabangu is already married and has five children with Alfred, a builder
The couple pose in traditional costume. The £1,500 cost of the wedding included £500 for the bride
Given away: Sanele walks to his wedding with his mother as people look on. The ceremony shocked some people in the community

Thursday, March 7, 2013

SARE SARE MAUA: MAMA NA WATOTO WAKE





HEHEHEHEHEHE USIULIZE KAPANDAJE HUKO JUU

NIMEHADITHIWA KUWA:  Ng'ombe aligoma kuchinjwa kwa ajili ya harusi huko MPUI Sumbawanga na kuamua kupanda juu ya paa la nyumba ya wazazi wa Bwana harusi, usiulize kapandaje kule juu.

Tuesday, March 5, 2013

HESHIMA NI NINI?????????

 Dada akihudumia Mgahawani
 Akinawisha wateja wake mikono
Amepiga magoti hasa huku akiendelea kuwanawisha

Neno la msingi la Kiebrania linalotafsiriwa kuwa “heshima” linamaanisha kihalisi “uzito.” Mtu ambaye anaheshimiwa anaonwa kuwa mzito au wa maana sana. Mara nyingi, neno hilohilo la Kiebrania linatafsiriwa pia katika Maandiko kuwa “utukufu,” neno ambalo linaonyesha zaidi heshima ya juu ambayo mtu mwenye kuheshimiwa anaonyeshwa. (Mwa. 45:13) Neno la Kigiriki linalotafsiriwa kuwa “heshima” katika Biblia linamaanisha kustahi, kuthamini, kuona kuwa -enye thamani. (Luka 14:10) Ndiyo, watu ambao tunawaheshimu ni wenye thamani sana kwetu.

Kuwaheshimu wengine kunahusisha nini? Kunaanza na kuwastahi. Kwa kweli, maneno “heshima” na “staha” mara nyingi yanatumiwa pamoja kwa sababu yanahusiana sana. Kuonyesha heshima kunamaanisha kuonyesha staha kwa nje au waziwazi. Kwa maneno mengine, staha inahusiana hasa na jinsi tunavyomwona ndugu yetu lakini heshima inahusiana na jinsi tunavyomtendea ndugu yetu.

Je! Wewe unaelewaje neno HESHIMA?

Thursday, February 28, 2013

Wednesday, February 27, 2013

KILA SIKU BINADAMU WEUPE WANALETA MAMBO MAPYA, SIMU YENYE UWEZO WA KUPIMA AFYA YAKO NA UKAPATA MAJIBU PAPO HAPO

The iPhone app for when you take a call... of nature: Get an instant health check by taking a photograph of your urine
- Users urinate onto a specially developed test strip
- Strip is photographed, and the iPhone app analyses the colour changes to spot potential problems such as kidney and liver issues, and diabetes

YALIYOJIRI JIJINI ARUSHA WIKI 2 ZILIZOPITA

@KIA

MAMA MZAZI NA MAMA MKWE WAKIWA JIKONI KWA PAMOJA-ARUSHA
MR. & MRS. CA
ILIKUWA NI FURAHA MWANZO MWISHO
RAFIKI YANGU MWAJUMA NILISOMA NAYE NGANZA A LEVEL
MAPAMBO

NDAFU
MAJANI YA NG'OMBE
WAPENDA NYAMA HAPA TULIKAMATIKA
YA KUCHOMA
KWANINI HAZILETWI DAR?????? TAMU SANA HIZI
KICHWA CHA NG'OMBE KIMECHARANGWA TAYARI KWA SUPU
MAKONGORO HAYAKUWA NYUMA
MWENDO WA KUIVA TUUUUUU
KUNI ZIKIPASULIWA
SUPU YA ULIMI NA MKIA
ULIMII

YAM YAM
USAFI NI MUHIMU,MWANAFUNZI AKIFUA NGUO ZAKE ZA SHULE