Tuesday, August 12, 2014

NIMETAMANI HIZI MBOGA KUTOKA MAISHA NA MAFANIKIO

Dada yangu Yasinta baada ya kulima Bustani yake Vyema kabisa, sasa anafaidi alichopanda
 Nikaona niichuma kama muunavyo hapa na kuifanyia kazi ...nikapata kiasi hiki. Basi nikaichambua .....
 ....nikaikatatakata  kama muonavyo katika picha , wakati huo nishaweka maji katika sufuria ...
 ...ipo ndani ya sufuria ili ishemshwe kwa muda wa dadika 2-5
 na hapa baada ya dakika 2-5 inaonekana hivi, baada ya hapa nasubiri ipoe na halafu
...naiweka katika mifuko kwa ajili ya akiba  na pia naandika tarehe na ni mboga aina gani, baada ya hapo ni kuweka kwenye friza(freeze) ...mjanja  eehhh:-)

HONGERA SANA DADA YANGU.....KUAIDI MENGI ZAIDI YA DADA YASINTA MTEMBELEE HUMU>>>>>>>>>>

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimefurahi umeipenda hii Ahsante dsana mama Alvin!

Ester Ulaya said...

dada yangu umenifurahisha sana, asante kushukuru