Friday, June 6, 2014

UZEE MWISHO WAPI VILEEEEEEE........................


Kyle akiwa katika pose na mbebz wake wa miaka 91 na kudai kwamba wanafuraha.
Kyle Jones, 31, anasema hajawahi kuwa na msichana umri wake au mdogo kwake. Pichani waki peana busu na totoz yake Marjorie McCook, 91.h
Pamoja na kuwa na mahusiano na Marjorie, 91, (kushoto) Kyle ana mahusiano na Anna Reimol , 67, (kulia) pamoja na wanawake wengine watatu wa makamu.
Kyle aanedai kuvutiwa na watu wazima amepeleka mbebz wake kumtambulisha kwa mama yake mzazi kulia.

NIMEITOA STORY KWA JESTINA GEORGE

No comments: