Thursday, May 22, 2014

ENZI HIZO BEACH KIDIMBWI NA WASHIKAJI...........ALVIN NAYE SIKU HIZI ANAENDA KUPIGA STORY NA WASHIKAJI MAHALI HAPO

 Enzi hizo kilikuwa kijiwe changu hasaaa.....nilikuwa nikitoka tuuu kazini nakuja hapa Beack Kidimbwi kupiga story na washikaji

 Nilikuwa nakaa hapa hadi saa mbili usiku ndo naenda home........story zinapanda hasaaa hadi mbu wakizidi ndo napata hofu ya kujua kuna malaria ndo nainuka
 Baadhi ya wadau tuliokuwa tukijumuika nao enzi hizo.....mwaka jana
 Siku hizi Alvin anapenda sana kwenda na yeye Beach Kidimbwi kupiga story na watu wake wa nguvu
The Don himself akiwa na rafiki yake

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Bonge la kumbukumbu..eeehh jamani Alvin kakua....HONGERA wazazi...

Ester Ulaya said...

ANAKUA DADA....ASANTE SANA