Sunday, February 3, 2013

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA YENYE UTULIVU

Haya wenye mifugo andaeni mfurahie na familia zenu.....siyo siku ya kazi baba/mama unakula mapaja ya kuku kazini nyumbani wanakula maharage tuuuuuuuuuuu.......leo zipeni familia raha mle nao chakula kizuri

Muwe na mwisho wa wiki vizuri

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia uwe na jumapili njema na wale uwapendao:-)

Ester Ulaya said...

Asante sana dada nanyi pia

Majoy said...

Asante sana dear iwe njema na kwako pia