Wednesday, November 14, 2012

HUU MKANDA UMENIKUMBUSHA MBALI SANAAAA

KAVAA MZUNGU
KAVAA MBONGO.............HUU MKANDA UNANIKUMBUSHAGA ENZI ZILE NGUO ZA READY MADE UTAKUTA NYEKUNDU, BLUE, NJANO N.K. INAKUWA NA VIDOTI DOTI VYEUPE NA MKANDA KAMA HUU
KAMA HAPA DADA YASINTA ALIJIDAI NA WA KWAKE ENZI HIZOOOOOOOOOO

4 comments:

R.Ngaiza said...

Ahahaha Kweli umenikumbusha enzi hizo kwetu waliziita tisa hizo nguo na mkanda wa kipepeo, mamangu alikuwa nao, nilikuwa mdogo ila nakumbuka kuna mahafari mwaka flani nadhani nilikuwa la pili niliuiba nikautinga enzi hizo hakuna tumbo unakukaa swafiii. Vya zamani vinarudi My Wii umenifurahisheje, miss u

Yasinta Ngonyani said...

ha ha aaaaaaaa hapa sikuona kweli vya zamani ni dhahabu...nazikumbuka hizo nguo nadhani mama alikuwa nayo ya njano:-) Ester nawe kwa upekuzi:-)

Ester Ulaya said...

hahahhahaah umeona eeeeee.......vya kale dhahabu na vinarudi kwa kasi dada

My wiii kweli kabisaaaaaaaa

Ester Ulaya said...

hahahhahaah umeona eeeeee.......vya kale dhahabu na vinarudi kwa kasi dada

My wiii kweli kabisaaaaaaaa