Friday, October 12, 2012

UNAKUMBUKA NINI UKIWAONA HAWA????? WEKA MAELEZO KWENYE KILA TUKIO


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Picha ya kwanza nakumbuka nilivyoanza kuandika...picha ya pili pia....
Picha ya tatu kucheza baba/mama/watoto
ya nne nipo jikoni napika na nakumbuka vipi chumvi zilikwa zikiisha
ya tano naona chakula kitawa cha nazi hapa naona tui linatengenezwa.

Ester Ulaya said...

yaani hayo maelezo da Yasinta umelenga mule muleeee

Yasinta Ngonyani said...

Da´Ester ukiona hivyo ujue mboga zilikuwa zinaungiua kweli kwa ajili ya kucheza michezo hiyo..ila nafurahi leo najua kupika:-)