Thursday, October 25, 2012

TUINGIE KWENYE BASI KWA MSTARI

 Kwani nini kigumu? Mbona wenzetu wanafanya! Hapo ni sehemu moja inaitwa Ngumba hapa Nairobi.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Labda mtoto umleavyo..hakika hii inapendeza bila kusukumana

R.Ngaiza said...

Nashangaa ugumu kwetu, make mtu anakuja wa mwisho anataka awe wakwanza hapo ndo kesi inapotokea. Sijui ni nini hasa kinatufanya kuwa hivi. Na hizo gari moshi nilitegemea zipunguze tatizo kumbe litabaki pale Mtu aache daladala ya 300 akapande train 800 jamani

Ester Ulaya said...

Kweli mtoto umleavyo dada Yasinta

My wii Train imeanza leo nasikia watu wamepanda kwa wingi, ngoja tuone muelekeo

R.Ngaiza said...

Wow hapo swafi, nilisikia nauri ingekuwa 500 hope unafuu utakuwepo sasa. Busu