Friday, October 19, 2012

HIVI HAYA MAMBO MPAKA LINI?????????????
HIVI KWANINI HALI INAFIKA HUKUUU???????? NI UBINADAMU GANI UNAOTUINGIA.........NAJIULIZA SANA SIPATI MAJIBU....HIVI MUNGU ANATUFUNDISHA TUISHI HIVI????????? ..............SERIKALI IWE MACHO HAPA KUNA KITU KINAENDELEA HATUJAKIFAHAMU......SI BURE AISEEEEE

MUNGU IBARIKI TANZANIA....TULINDE WAJA WAKO....AMEN

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hapa si kwamba mungu tu aibariki Tanzania ni lazima sisi wenyewe tuilinde amani tuliokuwa nayo...

Ester Ulaya said...

KWA HALI ILIVYO NOW DADA MUNGU NDO ATULINDE, NIPO HAPA HOME KINONDONI NIKASIKIA HELCOPTER MARA MABOMU HAPO KINONDONI MTAMBANI YAANI NI JIRANI NA HAPA HOME....NATETEMEKA TU NOW.....SASA KAMA WAO HAWATAKI AMANI.....MIMI HATA SIWAELEWI KWAKWELI