Thursday, October 4, 2012

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Shukrani sana kwanza kwa Mungu kunijalia uhai hadi leo, Shukrani kwa wazazi wangu walio bega kw bega nami hadi leo, shukrani kwa Mume wangu Mpendwa ambaye yuko sambamba nami hadi leo na ananijali kwa lolote litokealo upande wangu, niwashukuru Marafiki wangu woteeeee waliopo nami siku zote, pia asanteni wooooote mnaoendelea kunitakia heri katika siku yangu hii ya kumbu kumbu ya kuzaliwa, Namuomba Mwenyezi Mungu asiniache kamwe, bali aendelee kuwa nami daima na kuwea kutimiza ndoto zangu Amen

4 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana kwa siku yakuzaliwa Esther.. ninakuombea maisha mareeeefu sana, Mungu azidi kuwa nawe na nyumba yako daima daima..

Amen..

Ester Ulaya said...

Asante sana dada yangu mpendwa, baraka ziwe nawe pia

Yasinta Ngonyani said...

Kwanza kabisa naomba samahani kwa kuchelewa. Nimependa sanahizi picha zako wakati ulipokuwa mdogomgodo au niseme nimekuonea wivu pia kwani mie sina kama hizo zitunze sana Ester. HONGERA SANA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA MWENYEZI MUNGU NA AZIDI KUKULINDA ILI UTIMIZE MALENGO YAKO. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA DA´MDOGO ESTER!!

Ester Ulaya said...

ASANTE SANA DADA MKUBWA, YAANI NIMEZITUNZA HIZOOOOOOO, HALAFU NINAZO PICHA NYINGI SANA ZA UTOTO, HUWA NIKIENDA HOME LIKIZO NAMUOMBA BABA ANANIPA MOJA, AU ANASEMA NAWATUNZIA MSIZIPOTEZE