Friday, September 28, 2012

SASA NI MSIMU WA MAEMBE

 Huku Tabora kunasifika pia kwa Wingi wa Miembe......ingawa wachoma mkaa wanaimaliza sana siku hizi
Na sasa Miembe karibia yote imepamba na tukisubiria yaive tujidai.........Huku ndo Unyanyembe a.k.a. Mboka, utkutana na Embe Bolibo, Dodo, Sindano, Kimavi, n.k.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

yam yam yam hivi ndio mzimu wake kweli?

Ester Ulaya said...

ndo yanakomaa komaa, huku Tabora twayavizia kweli, tutaanza kuyala soon