Wednesday, September 26, 2012

MICHEZO HATARI YA WATOTO

Watoto wanabembea kwenye tawi la Mgazi/Mchikichi...Ni hatari sana kwa usalama wao.....kwani hapo likikatika ni rahisi kupata ajali na kuumia...ilibidi nikawaombe wahusika wakate hilo tawi kuepukana na baya litakalotokea kwa watoto....


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kama tusemavyo mchezo mchezo huleta hasara..kichotakiwa ni kuwaambia kwani wao ni wale watu wa kugundua kitu hawafikirii ni kama hatari...

Mija Shija Sayi said...

Nakwambia watoto watakuwa walikuona wewe nuksi kishenzi...unasababisha bembea yao kukatwa??

Kwa upande mwingine serikali itengeneze maeneo ya kuchezea watoto, waweke mabembea na mazagazaga yote muhimu kwa watoto kuchezea, maana nimeshaona siku hizi hata watoto kucheza ni kwa malipo..

namna hii tunaliharibu taifa la kesho.

Watoto ni lazima wacheze ili kujenga ubongo wenye afya.