Monday, August 27, 2012

TUENDELEE NA UTALII KIJIJINI - PART II


Mashambani.....akipandisha kampandooo......

Akichukua kumbu kumbu
Akila pose la picha
Tabasamu kwa sana tuu
Mizunguko ikiendelea

Sunflower......
Muwe na jumatatu njemaaa....na mwanzo mwema wa wiki

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimependezwa na hilo shamba la alzeti...taswira nzuri sana...