Friday, August 24, 2012

PHOTO OF THE WEEK

MAMA HUYU ANAONEKANA NI MJAMZITO, KABEBA MTOTO NA ANA KUNI KICHWANI....HII PICHA NI YA JUZI HUKO MPUI - SUMBAWANGA

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kweli ni picha ya wiki..halfu hapo juu ya mzigo wa kuni kuna kifurushi nadhani ni maharage mabichi...Duh! maisha haya jamani!!!

Ester Ulaya said...

Kweli dada Yasinta, na muwa sijui huo pembeni.......kazi ipo