Wednesday, July 18, 2012

WAFANYAKAZI WA AARSLEFF BAM INTERNATIONAL JV WAJENGAO BARABARA YA SUMBAWANGA - LAELA WAKIWA PICNIC


Walifanya Picnic hiyo kijiji cha Ilembo na hilo Bwawa lipo shambani kwa Mtu, aliwaruhusu wafanyie hapo na Wanakijiji walijitolea kuwasaidia kupaandaa ili pawafae zaidi
Walijiandalia maakuli wakaanza kuenjoy
Baadhi ya wanakijiji
Kitu cha mtumbwi Bwawani
 Baada ya kazi ngumu hasa ujenzi wa barabara kama muujuavyo, waliamua wakapumzike na kuenjoy
Mtaalamu wetu wa mapose ya kupaa Angani(picha ya post ya nyuma) akiwa na office mate na  ndo mtumaji wa matukio haya
Ladiesssssssssssssssssssssssssssssssssss
Mahanjumati, madikodiko, masonsolo.......endelea kuongeza jina lako
Dansing time
Safi sana....stress free zone
Hahahaha jamaa anataka ajirushe bwawani????
Yam yam 

Kitu cha Pwezaaaaaaaaa
Anatest kama nguvu bado zipo
Hahahaha huyu jamaa ni balaaa
Na story ikaishia hapaaaaaaa.........shukrani mfadafa Vero kwa mafotoooo

No comments: