Wednesday, July 18, 2012

SHERIA HUWA INAVUNJWA NA MTUNGA/MSIMAMIA SHERIA PIA...

Hivi kwani askari wao hawatakiwi kuvaa Kofia maalumu kwaajili ya usalama wa vichwa ukiwa unaendesha piki piki?????? hebu nijuzeni wapendwa.....nilimnasa mitaa ya Salenda.....nilitamani nimsimamishe nimuhoji hilo swali

No comments: