Thursday, July 26, 2012

KUTOKA SEGERA NA MISENYI: MIKUTANO YA KUPOKEA MAONI KUHUSU KATIBA MPYA

 Wanafunzi wa shule ya Msingi Michungwani, Kata ya Segera wilaya ya Handeni mkoani Tanga wakijisomea kitabu kuhusu Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1977 katika mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba mpya uliofanyika kijijini hapo hivi karibuni
 Abdallah Mohamedi (31) mkazi wa kijiji cha Michungwani, kata ya Segera, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano wa kukusanya maoni kijijini hapo hivi karibuni

Bi. Teodezea John, ambaye ni mlemavu, mkazi wa Kata ya Kilimikile, Wilaya ya Misenyi, mkoani Kagera akitoa maoni yake kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wake wilayani hapo hivi karibuni
Kwa matukio zaidi Angalia Michuzi Blog

No comments: