Friday, June 22, 2012

WAKAZI WA MWANZA.....MWATAKA KUJUA BASEBALL INACHEZWA VIPI, TEMBELEA VIWANJA VYA ST.MARYS SCHOOL

 Hii inaitwa Batting Style....na huyu ndo Teacher mwenyewe.....Hellen
Hadi raha......vipaji vikiwajibika
Watoto/wanafunzi wakiwa mazoezini

Safi sana
Siyo kwamba anaenda kuendesha piki piki.......ndo vigezo na masharti ya mchezo

Kila la heri vijana....ongezeni juhudi mtafanikiwa tu

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hakuna kisichowezekana cha muhimu ni kujidhatiti!!