Wednesday, June 13, 2012

UVUVI NA UFUGAJI WA SAMAKI MAENEO MBALI MBALI YA AFRICA
2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ester Ahsante sana kwa kunikumbusha:- Nakumbuka kaka zangu walichimba kisima na tukawa tunakula samaki kila tutakapo mimi kazi yangu ilikuwa kulisha:-) Nimetamani hapa duh!

Ester Ulaya said...

shule ya msingi tuliwahi kufanya hivyo, tulichimba bwawa tufuge samaki, hadi kibao cha shule kiliwekw ufugaji wa samaki, niliporudi next time nikakuta hauna tena kitu kama hicho, nilisikitika